Hii ni bima inayokulinda dhidi majanga ya kiuchumi, upotevu au uharibifu unaoweza kutokea ukiwa umesafiri nje ya nchi. Bima hii inaweza kukupa fidia ya kucheleweshwa kwa vifurushi au mzigo wako,msaada wa kisheria kwa matukio kama kughairishwa au kufutwa kwa safari katika dakika za mwisho, matibabu dharura safarini.
Unaweza kuchukua bima ya safari fupi au safari ndefu za kimataifa na ni bima ya hiari ingawa kuna baadhi ya nchi ni lazima uwe na bima hii ili kuweza kwenda kwenye inchi hizo.Bonyeza hapa kununua bima yetu ya safari na upate barua ya maobi ya visa ndani ya dakika moja.
Inashauriwa ya kwamba mtu anapotaka kusafiri ni vyema kupata bima hii bila kujali ni kwa hiari au ni kwa mujibu wa sheria ya nchi unayokwenda .Bima hii ni ya gharama nafuu na itakupa Amani ya moyo ukiwa safarini .
Matukio yatakayokufanya uhitaji kuwa na bima ya safari ni pamoja na:
Jalada letu linaweza kununuliwa kwa safari ndani na nje ya Tanzania. Kifuniko kinaweza kuchukuliwa kwa safari fupi au ndefu za kimataifa na kwa kawaida huchaguliwa, ambayo inamaanisha unaweza kuamua ikiwa utanunua au la. Ukiwa na ICEA LION, umefunikwa kwa lugha yoyote.
Sasa umeelewa Bima ya safari ni nini, bonyeza hapa kuweza kujipatia Bima yako ya safari kutoka ICEA LION tupigie +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 au omba kupigiwa kwa ku bonyeza hapa
Ingiza maelezo yako ili tuweze kupanga simu kwa ajili yako
ICEA LION itakurudishia gharama za matibabu ya dharura uliyofanya kutokana na majeraha au ugonjwa ulioupata ukiwa safarini kwenda nje ya nchi au ukiwa safarini kuja Tanzania
ICEA LION italipia gharama ulizopata kwa mujibu wa faida za bima hii kama zilivyoainishwa. Hii ni pamoja na muendelezo wa matibabu ya ugonjwa au majeraha yakiyo ambayo matibabu yake yalianzia ukiwa nje ya nchi.Matibabu haya ni lazima yafanywe ndani ya siku 30 toka ulipoingia Tanznaia
I wapo utaumwa au kupata jeraha ambayo imeanishwa kwenye bima hii na itahitajika kusafirishwa kwenda mahala pengine au kurudishwa nchini Tanzanaia ICEA LION italipa gharama hizo ikiwa ni pamoja na gharama za wauguzi waliokusindikiza.
In the event that you are hospitalized due to sudden illness or because of an accident for more than ten days or in the event of your unfortunate demise, ICEA LION will meet the cost in respect of one immediate family member accompanying you at the moment of the event and who resides in Tanzania with you provided that this family member is unable to travel by his or her own means of transport used for the initial trip.
Iwapo wakati wa safari yako iliyokatiwa bima utapatwa na ugonjwa au majeraha ICEA LION itakulipa kiasi cha ziada kitakachokidhi mahitaji ya kusafiri na malazi ya mtu atakayesafiri , kukaa na wewe au kusafiri na wewe wakati wa kurudi Tanzania.Swala hili litafanywa kwa kuzingatia ushauri wa kidaktari uliotolewa na wataalam wa afya na kwa kuzingatia makubaliano ya kimaandishi yaliyoandikwa baina ya mteja na ICEA LION
Iwapo itatokea bahati mbaya ukapoteza maisha ,ICEA LION italipia gharama za kurudisha mwili wako nchini Tanzania au kugharamia gharama za mazishi iwapo mwili utazikwa mahali mauti yalikotokea
Iwapo itakubidi ukatize safari yako kutokana na kifo cha mtu wa karibu wa familia, ICEA LION itagharamia gharama za kukurudisha nyumbani iwapo umeshindwa kusafiri kwa njia zako binafsi, gharama hizi zitalipwa baada ya kuwasilisha nyaraka husika wakati wa madai.
Iwapo utahitaji huduma ya dharura ya meno wakati wa safari kwa ajili kupata nafuu kutokana na maumivu yaliyojitokeza ghafla , ICEA LION itakurudishia gharama ulizotumia katika kupata dawa,jeraha au kungóa jino/meno.Gharama hizi zitarudishwa iwapo mhusika atawasilisha nyaraka mhimu atakazoombwa wakati wa madai .kwahiyo ni mhimu kujua nyaraka na viambatanisho vinavyotolewa kabla na wakati wa safari .Bonyeza hapa kupitia vitu vya kuzingatia na kuambatisha unapotaka kufanya madai..
Tembelea msingi wetu wa Maarifa ili kupata habari kamili juu ya bima yetu ya kusafiri na zaidi.
Kitu gani kingine natakiwa kujua kuhusu Bima ya Safari?
Unaweza kuongeza fao la kinga dhidi ya UGAIDI kwenye bima yako ya safari kwa kuongeza kiasi kidogo cha fedha kwenye malipo. Hapa utapata matibabu ya dharura na ajali inayoweza kukupata kutokana na matukio ya kigaidi.
Hii pia inaweza kupatikana kwenye bima yako ya safari iwapo utakuwa umechukua kipengele cha matibabu na ajali binafsi
Head Office
Plot 331 Kambarage (Rose Garden road) Road, Mikocheni
P.O. Box 1948 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2774999, +255 22 2775039, +255 22 2775059
Fax: +255 22 2775094
E-Mail: insurance@icealion.co.tz
Website: www.icealion.co.tz
Something isn’t Clear?
If you would like to talk to us in person, you can call us on +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 or request a call back by clicking here.