Bima Ya Kinga Ya Muajiri
Request a call back Download Brochure Bima ya Kinga ya muajiri ni ipi? Hii ni bima inayokatwa na muajiri kujikinga dhidi ya mashitaka yoyote ya
Kama moja ya makampuni ya pekee kushiriki katika jitihada za umoja wa mataifa kupitia program yake ya mazingira na uchumi (UNEP –FI) tumejidhihirishia kujitoa na kujitolea kwetu kwenye maendeleo endelevu na jinsi ya kuilinda dunia .
Kwa kulinda makampuni na wateja dhidi yan majanga tunatoa ulinzi na Amani katika uchumi. Tunatengeneza bidhaa zinazowezesha wateja wetu kujikinga dhidi ya hasara inayoweza kuletwa na majanga. Jambo hili linapelekea wateja kutulipa na kuchangia katika uwekezaji wa baadae.Kitendo cha kuwa na ulinzi wa bima kina chagiza ukuaji wa ugunduzi na ujasiliamali kwa kuwa kuna uhakika wa usalama wa kiuchumi.
Ni 2.3% tu ya watu wanapotumia na kununua bidhaa za bima , hivyo huu ni ushaidi Dhahiri kuwa wana jamii wengi ambao wako kwenye hatari ya kupoteza mali sababu ya majanga hawana uelewa au hawajafikiwa na huduma ya bima Kupunguza jambo hili tunatengeneza bidhaa ambazo ni rahisi, nafuu na rahisi kuzipata ili tuweze kunyanyua uchumi .
ICEA LION imekuwa ikijihusisha na malengo ya maendeleo ya Umoja wa mataifa (SGDs) has kwenye kupunguza umasikini, kulinda mazingira, na kuhakikisha maendeleo ni kwa wote. Kama watoa huduma ya bima tunatambua mchango wetu katika baadhi ya malengo haya ya umoja wa mataifa .
ICEA LION ina nia iliyothabiti ya kulinda kukukuza uzao wa mnyama simba kutokana na ukweli kwamba imeonekana ya kuwa simba wamepungua sana katika mbuga zetu za wanyama hasa nchini Kenya.
ICEA LION ina kampeni yake ya I SEE A LION yaani NAMUONA SIMBA ambayo inauhusiano wa moja kwa moja na jinsi jina letu linavyotamkwa . sisi kama taasisi tunajitahidi kufanya na kuwaza kama wafalme wa mwitu hivyo ilitupasa kuhakikisha tunatoa mchango wetu katika maamuzi ya kulinda ustawi wa simba mbugani.
Kampeni hii imekuwa ikifanywa na ICEA LION kwa kushirikiana na shirika la huduma ya wanyama pori nchini kenya (Kenya wildlife service) ili kukuza uchumi kupitia utalii wa simba.
Tumefanya mambo yafuatayo katika kampeni yetu ya ulinzi na utunzaji wa mnyama Simba:
Request a call back Download Brochure Bima ya Kinga ya muajiri ni ipi? Hii ni bima inayokatwa na muajiri kujikinga dhidi ya mashitaka yoyote ya
Request a call back Download Brochure Bima ya usafirishaji mizigo ya ndani ya nchi ni ipi? Hii ni bima inayokinga mzigo /bidhaa uliyobeba wakati wa
Request a call back Download Brochure BIMA YA BIASHARA Kama ilivyo kwa mambo mengine,Biashara pia huwa katika hatari ya kukumbwa na majanga mbali mbali ,
Head Office
Plot 331 Kambarage (Rose Garden road) Road, Mikocheni
P.O. Box 1948 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2774999, +255 22 2775039, +255 22 2775059
Fax: +255 22 2775094
E-Mail: insurance@icealion.co.tz
Website: www.icealion.co.tz