Kiswahili
EnglishHii ni bima inayokulinda dhidi ya hasara unayoweza kuipata kiuchumi iwapo chombo chako, vipuri na vifaa vitaibiwa au kuharibika kutokana na ajali, moto au vurugu. Bima hii pia hukulinda dhidi ya madhara unayoweza kusababisha kwa mtu wa tatu. ICEA LION inatoa Bima ya Magari ya biashara na magari binafs.,Bima binafsi ina vipengele vitatu navyo ni: bima ndogo pekee, bima ndogo ya wizi na moto na bima kubwa..Bonyeza hapa kujifunza zaidi.
Tovuti yetu inaakuwewezesha kupata bei , kununua na kupata cheti au stika yako itakayotumwa kwako kwa njia ya barua pepe papo hapo. Bonyeza hapa kupata huduma yetu kwa haraka.
Ni mhimu kujua kwamba iwapo utampa dereva mwingine gari lako, BIMA KUBWA haitahusika na malipo ya fidia kwa dereva huyo pindi atakapopata ajali, ili kuweza kulipwa fidia dereva huyo atapaswa kukata au kukatiwa Bima ya ajali binafsi itakayo mkinga dhidi ya ajali.
Iwapo utataka kuongea nasi tafadhali tupigie +255 22 2775039, +255 22 277 4999 au omba kupigiwa kwa ku bonyeza hapa.
Ingiza maelezo yako ili tuweze kupanga simu kwa ajili yako
Iwapo utasababisha majeraha kwa mtu mwingine na akahitaji huduma au msaada wa matibabu ya dharura unaruhudiwa kumpeleka hospitali na kumpa matibabu yenye gaharama mpaka ya shilingi 500,000/= kiasi hiki cha fedha kitarudishwa kwako na ICEA LIONbaada ya kuwasilisha nyaraka kutoka hospitalini ikiwa ni pamoja na ripoti ya daktari na stakabadhi.
Iwapo kutatokea kifo cha aliyekuwa akitumia gari (mtu mwingine) na mtu/watu wengine waliohusika na ajali hiyo (ambao hawakuwa kwenye gari lako)
Iwapo kutakuwa na gharama za matibabu kutokana na ajali
Tunatoa huduma ya ushauri na tathmini bure kwa wateja wanaokata bima kubwa
Iwapo gari lako litavutwa kupelekwa gereji utafidiwa mpaka kiasi cha shilingi 500,000/-. kama gharama zitazidi kiasi tajwa itakupasa kugharamia kiasi kilichozidi.
Tembelea msingi wetu wa Ujuzi ili kupata habari kamili juu ya bima yetu ya magari na zaidi.
Ni mhimu kujua kwamba iwapo utampa dereva mwingine gari lako, BIMA KUBWA haitahusika na malipo ya fidia kwa dereva huyo pindi atakapopata ajali, ili kuweza kulipwa fidia dereva huyo atapaswa kukata au kukatiwa Bima ya ajali binafsi itakayo mkinga dhidi ya ajali.
Head Office
Plot 331 Kambarage (Rose Garden road) Road, Mikocheni
P.O. Box 1948 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2774999, +255 22 2775039, +255 22 2775059
Fax: +255 22 2775094
E-Mail: insurance@icealion.co.tz
Website: www.icealion.co.tz
Something isn’t Clear?
If you would like to talk to us in person, you can call us on +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 or request a call back by clicking here.