Kiswahili
EnglishKama ilivyo kwa mambo mengine,Biashara pia huwa katika hatari ya kukumbwa na majanga mbali mbali , iwapo mfanya biashara hatajikinga na majanga haya anaweza kupata anguko kubwa la kibiashara na kupoteza mali aliyoifanyia kazi kwa muda mrefu. Bima hii ya biashara imebuniwa ili kukuletea ma suluhisho mbalimbali ya bima kutokana na uhitaji wako.Kama kampuni tutatathimini na na kukushauri ni aina gani ya bima itakufaa katika biashara yako.
Faida za bima hii ni zipi?
We also compensate you for the accidental loss or damage to portable property that you use outside the premises to run your business, if you take up Section C: All Risks. This can include all office electronic equipment (including servers, desktop computers etc), laptops, mobile phones, projectors, camera equipment, workshop tools and so on.
Iwapo utataka kuwasiliana na sisi tafadhali tupigie +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 au omba kupigiwa kwa ku bonyeza hapa
enter your details so we can schedule a call for you
Hii ni bima unayokata kwa ajili ya mali zako ili ikulinde dhidi ya madhara yanasosababishwa na moto na vianzilishi vingine vya majanga.
Hii ni bima ambayo itakulipa fidia kutokana na upotevu au uharibifu wa mali uliotokana na vitendo vya wizi/ujambazi uliofanywa kwa kuvunja na kuingia kwenye jengo lako.
Hii ni bima inayokatwa kwa ajili ya mali au vifaa vyote ambavyo havijahusika au kutajwa kwenye kipengele A & B hapo juu.
Kipengele hiki hukatwa na wafanyabiashara ili kujikinga na madhara yanayoweza kuwapata watu waliokuja katika sehem ya biashara yako ambao wanaweza kukufungulia mashtaka dhidi ya hasara au tatizo lilijojitokeza.
Hii ni bima ambayo inakulinda dhidi upotevu wa hela wakati zikipelekwa au kutolewa benki , au ndani ya jengo lako kwa kuibiwa pesa au kuibiwa kwenye kabati ya kuhifadhia pesa.
Hii ni bima inayokatwa na mwajiri kujikinga dhidi ya mashitaka yoyote ya kisheria yanayoweza kuletwa na mfanyakazi wa ndani kutokana na ajali, magonjwa,kifo majeraha yaliyotokea akiwa katika majukumu ya kazi.
Visit our Knowledge base
Head Office
Plot 331 Kambarage (Rose Garden road) Road, Mikocheni
P.O. Box 1948 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2774999, +255 22 2775039, +255 22 2775059
Fax: +255 22 2775094
E-Mail: insurance@icealion.co.tz
Website: www.icealion.co.tz
Something isn’t Clear?
If you would like to talk to us in person, you can call us on +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 or request a call back by clicking here.