Hii ni bima unayokata kwa ajili ya mali zako ili ikulinde dhidi ya madhara yanasosababishwa na moto na vianzilishi vingine vya majanga. Vianzilishi hivi ni pamoja na moto wenyewe, milipuko, tetemeko la ardhi,milipuko ya volcano, radi, vimbunga ,mafuriko, kupasuka kwa mabomba makubwa, kulipuka kwa matanki ya mafuta, vurugu, majaribio ya silaha kubwa , kuanguka kwa kimondo na moto uliozuka kwenye misitu au mapori.
Mali zinazokatikiwa bima hii ni majengo, vifaa vya ofisi, kompyuta, vifaa/vitu binafsi vya waajiriwa, fedha, mashine na kazi ya Sanaa.
Bima ya Moto na Hatari inaweza kugeuzwa kukufaa ili kukidhi mahitaji yako. Vitu unavyobainisha kufunikwa chini ya sera huamua gharama ya bima yako.
Iwapo utataka kuwasiliana na sisi tafadhali tupigie +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 au omba kupigiwa kwa ku bonyeza hapa
ingiza maelezo yako ili tuweze kupanga simu kwa ajili yako
Hii ni bima inayokatwa kwa ajili ya jengo ambapo mkataji ni yule mmiliki wa jengo/mkazi wakwenye jengo.
Bima hii inahusisha uharibifu kwenye jengo kama ifuatavyo:
Aina za hatari zilizofunikwa chini ya sera hii ni:
Head Office
Plot 331 Kambarage (Rose Garden road) Road, Mikocheni
P.O. Box 1948 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2774999, +255 22 2775039, +255 22 2775059
Fax: +255 22 2775094
E-Mail: insurance@icealion.co.tz
Website: www.icealion.co.tz
Something isn’t Clear?
If you would like to talk to us in person, you can call us on +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 or request a call back by clicking here.