Hii ni bima inayokatwa na muajiri kujikinga dhidi ya mashitaka yoyote ya kisheria yanayoweza kuletwa na mfanyakazi wake kutokana na ajali, magonjwa,kifo au majeraha yaliyotokea akiwa katika majukumu ya kazi. Iwapo muajiri binafsi kwa bahati mbaya atafariki kipengele hiki kitaendelea kumkinga muwakilishi wa muajiri kama mke/mume au muwakilishi wa familia iwapo yatafunguliwa mashtaka na mtu wa tatu. Kwa upande wa kampuni kinga hii huikinga kampuni iliyotoa ajira dhidi ya mashtaka yeyote yanayoweza kuikabili kampuni au hasara za kiuchumi zitakazo sababishwa na mfanyakazi wake aliyepata majanga.
Bima hii itakulipa wewe muajiri fidia ya hasara iliyojitokeza kutokana na kifo na gharama za kisheria kwa ukomo wa sera yetu. Sera yetu ya bima hii itakuonesha mipaka na ukomo wa kiasi cha fedha unachopaswa kulipwa kwa kila mfanyakazi na kwa kila tukio.
Kwa kua sasa umeelewa bima ya kinga ya muajiri ni nini na ungependa kukata bima hii . tafadhali bonyeza hapa ili uweze kupigiwa au tupigie +25522277499
enter your details so we can schedule a call for you
Bima hii inamfaa muajiri yeyote ambaye anatafuta kinga dhidi ya hasara ya kiuchumi inayoweza kuletwa na majeraha, magonjwa , au kifo cha mfanyakazi wakati akiwa katika shughuli zake za majukumu ya kikazi.
This refers to property or assets that have demonstrable financial benefit/s or that will cause you to suffer a loss in the unfortunate event of its destruction. Property in this case includes:
The types of perils covered under this policy are:
Kuna baadhi ya mambo ambayo hayahusiki kwenye sera ya bima yetu na ni mhimu kujua ya kwamba huwezi kuyafungulia madai:
Head Office
Plot 331 Kambarage (Rose Garden road) Road, Mikocheni
P.O. Box 1948 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2774999, +255 22 2775039, +255 22 2775059
Fax: +255 22 2775094
E-Mail: insurance@icealion.co.tz
Website: www.icealion.co.tz
Something isn’t Clear?
If you would like to talk to us in person, you can call us on +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 or request a call back by clicking here.