Urithi Wetu

ICEA LION Group ni taasisi  ambayo inatoa suluhisho la bidhaa na huduma bora za bima , pensheni na mifuko ya hifadhi . Taasisi hii ilianzishwa baada ya mabadiliko yaliyofanyika kati ya kampuni ya Kenya insurance Company Limited na Insurance Company of East africa (ICEA) Mwaka 2012 na kupelekea kupatikana kwa jina la ICEA LION.

 Mizizi ya ICEA LION inatokea miaka ya 1895 ambapo taasisi hii imekuwa ikitoa huduma hizi za kifedha , kwa miongo mingi tumekuwa tukilinda mali na kutengeneza fursa za kupata mali hapa afrika mashariki. Katika dunia ya sasa inayobadilika kwa kasi tumekuwa tuki zingatia bidhaa zinazoenda na wakati na kuzingatia mahitaji tofauti ya walteja wetu.

Our Heritage

Our Brand Promise

Through Every Life Changing Moment, We’re Better Together

Mission

To Protect & Create Wealth

Vision

To be the leading Pan African provider of insurance and financial services

Our Core Values

1. We See Through The Eyes Of The Customer

2. Our People Are Important To Us

3. We Deliver On Our Promises

4. We Champion Integrity

Our Milestones

Our Awards

ICEA LION Group is one of the most awarded insurance and financial services companies in East Africa. This is a testament to our pursuit of excellence in all spheres.

 

Our Heritage
Kindly note that client login is only available to existing ICEA LION customers
Click here to proceed to the Self Service Portal if you are already a client of ICEA LION.
Otherwise, see products available to buy online