Bima ya ajali binafsi ni ile ambayo inatoa fidia kwa mtu ambaye amepatwa na majeraha, ulemavu au kifo. Ni bima ambayo pia inafidia gharama za matibabu zilizojitokeza kutokana na ajali, kwahiyo bima hii huwa kama nyongeza kwa bima yako ya maisha au bima ya matibabu. Kiasi utakacholipia kitategemea na vigezo vya bima utakayotaka kuchukua hivyo fidia utakayolipwa itategemea pia kipato chako cha kila siku. Bima hiiinatumika iwapo utapata ajali mahali popote duniani.
Bima ya ajli ya kikundi: hii ni bima dhidi ya ajali ambayo inakatwa kwa ajili ya kundi la wafanyakazi, familia, waajiriwa, vyuo, vikundi vya maendeleo au kikundi chochote ambacho kina watu wenye kazi/dhumuni au matakwa yanayofanana
Jalada hili linaweza kuongeza bima yako ya matibabu iliyopo kwa muda mrefu kama gharama zinahusiana na tukio hili maalum. Ikiwa huna bima ya matibabu, basi ajali ya kibinafsi inashughulikia mateke mahali pake.
Iwapo utahitaji kupata bima hii tafadhali bonyeza hapa au tupigie kwenye+255 22 277 4999, +255 22 277 5039 au omba kupigiwa kwa kubonyeza hapa.
Ingiza maelezo yako ili tuweze kupanga simu kwa ajili yako
Tutamlipa mhusika uliyemtaja kwenye makubaliano au aliyeteuliwa au kuidhinishwa kama msimamizi wa mirathi yako kiasi cha mishahara ya mda uliokubalika kutokana na kifo kilichosababishwa na ajali.
Tutakulipa fidia asilimia ya kiwango kilichokubaliwa katika makubaliano ya bima hii au jumla ya mishahara iliyokubaliwa kwa ajili ya ulemavu wa kudumu .
Fao hili litakulipa malipo ya wiki iwapo utakuwa umepata ajali iliyosababisha kupoteza uwezo wako wa uzalishaji mali kwa mda .Malipo haya ni ya muda mfupi mpaka utakapokuwa umepona. Ukomo wa juu kabisa wa malipo haya ni wiki 104
Tutakurudishia gharama za matibabu ulizolipia ikiwa ni pamoja na huduma ya macho na meno ambayo imetokana na ajali . Huduma hii ina ukomo maalumu.
ICEALION itagharamia gharama zote za uokoaji katika kupata msaada wa kitabibu baada ya ajali.
ICEALION italipia gharama ya vifaa vya usikivu,upumuaji,magongo au vifaa vingine vinavyohitajika katika kujiuguza.
Iwapo utapoteza maisha, ICEALION itagharamia gharama zote za usafirishaji mwili mpaka mahali unapoishi.
ICEALION, Italipa gharama za mazishi kama zilizovyoanishwa kwenye makubaliano ya awali kabla kupatwa na umauti uliosababishwa na ajali.
Tembelea msingi wetu wa Maarifa ili kupata taarifa kamili juu ya Bima ya Ajali ya Kibinafsi ya ICEA LION
**** NB: The Annual Premium row shows the amount of money to pay in order to cover the listed benefits in every column.
Our Excelsior Personal Accident cover is an enhancement of our standard Personal Accident Insurance outlined above. In addition to covering your medical expenses, we offer generous disability benefits such as cover for various artificial or medical appliances such as wheelchairs and hearing aids, dental and optical cover, as well as local evacuation expenses.
**** NB: The Annual Premium row shows the amount of money to pay in order to cover the listed benefits in every column.
Our ICEA LION Student’s Personal Accident insurance covers pupils and students, from kindergarten to university. This cover is also suitable for students who require insurance cover during their internship/attachment period at organizations as they finalize their higher education. The benefits include accidental death, permanent total disability, medical expenses as a result of an injury as well as purchase of artificial or medical appliances such as wheelchairs, hearing aids.
Upon receipt of full premium, a cover confirmation is issued immediately!
Our ICEA LION Family Personal Accident insurance offers similar benefits to our Excelsior Personal Accident Insurance outlined above but is tailor made to suit your family. A family in this case includes parents, biological children and other dependants such as domestic employees living or residing in your household.
**** NB: The Annual Premium row shows the amount of money to pay in order to cover the listed benefits in every column.
We also offer ICEA LION’s Group Personal Accident Insurance, commonly referred to as GPA. Its benefits are similar to the Standard Personal Accident Insurance, only that the GPA covers are designed to accommodate Groups of people such as employees, students, associations and so on. Group Personal Accident Insurance can also be bundled up with Work Injury Benefits Act (WIBA) insurance, a compulsory government employee compensation cover that employers take out for all their employees. Bundling up WIBA with GPA allows an employer to provide cover for employees for both work and non-work related accidents and incidents. The WIBA part of the cover would come into effect only if the injury is work related and as per the Work Injuries Benefits Act, WIBA 2007 set limits. The Group Personal Accident part of the cover responds to non-work related accidents. Our Group Personal Accident is quoted based on your group’s specific needs so we would need to engage in order to effectively guide you on the ideal insurance mix for your Group.
Head Office
Plot 331 Kambarage (Rose Garden road) Road, Mikocheni
P.O. Box 1948 Dar Es Salaam
Tel: +255 22 2774999, +255 22 2775039, +255 22 2775059
Fax: +255 22 2775094
E-Mail: insurance@icealion.co.tz
Website: www.icealion.co.tz
Something isn’t Clear?
If you would like to talk to us in person, you can call us on +255 22 277 4999, +255 22 277 5039 or request a call back by clicking here.